Augustana College printing logo

Swahili welcome letter

Wazazi wapendwa,

Karibu katika jamii ya Augustana,

Augustana itawatia changamoto na kuwaunga mkono wanafunzi wanapokumbatiana na mambo katika harakati yao ya kupata elimu ya chuo kikuu. Kuna nafasi nyingi katika Augustana ambayo inahakikisha kuwa kila mwanafunzi ametayarishwa vizuri ile aweze kuwa na wakati rahisi baada ya kumaliza shule na kuenda kutafuta kazi nje.

Kwa wazazi ambao watoto wao wamelelewa katika nchi zingine, tunaelewa kwamba Kingereza sio lugha ya kwanza. Ikiwa ungependa tutasfiri waraka au ungependa mtasfiri awepo wakati utakapotembelea shule, tujulishe mapema. Tungependa ziara yako katika shule au mahusiano yetu na wewe yawe shwari na bila vizuizi.

Wako mwaminifu,
Jane M. Tiedge. Msimazi wa ofisi ya wanafunzi kutoka nchi zingine.